Non Governmental Organization.

@her_initiativeHer InitiativeB4Teen Girls Supportive Initiative. (TGSI).RaiseAwarenes and Self Esteem To Tanzanian Young Girls.Join The Team.

Advertisement

Do not want ads show here.
Please contact us ›

3 days ago

Ni muda wetu sasa! Ndio ni muda wetu. Karibu katika Jukwaa la Nguvu ya Binti 2017,litakalounganisha mabinti, vijana na jamii kwenye mijadala inayomtazama Mtoto wa kike na changamoto zake za kila siku. Enhe! Mwambie rafiki aje tujifunze, ushauri na tuulize maswali katika mada zinazobeba Ajenda mpya ya Nguvu Ya BINTI 2017 Kila jumatano ya pili na ya mwisho wa mwezi katika kurasa za Femina Hip : Facebook,Instagram na Twitter @feminahip #SautiYaNguvuYaBinti

1 week ago

Repost from @meena_ally: "Don't let anybody dream for you. Nobody can see your dreams as clear as you,nobody knows it the way you do so don't let them tell you shit."

1 week ago

monday motivation..

Advertisement

Do not want ads show here.
Please contact us ›

3 weeks ago

Success is not about how much money you make but how much difference you put on someone's life. Flashback panda #youforG20 #panda2017 Link on the bio to vote for us ❤🙏

3 weeks ago

OPEN DISCUSSION. wakati tunaendelea na zoez la kupiga kura , karibu kwne open discussion tujadili mambo mawili matatu jinsi gani @her_initiative imekusaidia kuzikabidhi changmoto mbali mbali na hatua gani ulichukua na pia Una ushaur gani ..karibu utoe maoni .. BOFYA LINK KWNE BIO KUVOTE #youforG20 #PANDA2017

3 weeks ago

It's a beautiful Wednesday to wake up and vote for @her_initiative on PANDA PROJECT via the link on our bio, and yes if u have voted already please do tag few more friends so they can vote.. And get a free tshrt... . . . .Ni jumatano nzuri kuamka na kuipigia kura @her_initiative kwne shindano la PANDA PROJECT Kama tayari umeshapiga kura basi tag marafiki , nao watupigie kura .. Kupitia tag na posts utaweza kujishindia tshrt mpya ya @her_initiative @jokatemwegelo @jembenijembe @vanessamdee @dorismollelfoundation @dorismollel @jenmalkia @bonnahkaluwa @aikasdaughter @millardayo @nikkiwapili @mcpilipili @shekhamanjano @makjuice_tz @martinkadindaofficial @farajanyalandu @irenekiwia @aikanavykenzo @maznatbridal @miss_mhita #panda2017 #youforG20

3 weeks ago

Good morning @her_initiative offers free tshrts as Eid Give away to those who will post our current competition with links to vote and tag as many people as you can... . . .. .Habari za asubuhi , baada ya weekend ndefu ya Eid @her_initiative inataka kugawa tshrts kma zawadi , kwa watu ambao watashirikiana nasi kupost, na kutag shindano ambalo tupo kwa sasa, na kuweka link.. Tshrts ztakabidhiwa kwa wale watakao post na kutag watu wengi zaidi.. Kujua zaidi kuhusu shindano fuatilia post za nyuma.. #youforg20 #PANDA2017

Advertisement

Do not want ads show here.
Please contact us ›

3 weeks ago

""Tunashukuru wote ambao mpaka sasa mmetupigia kura 🙏❤ bado tunahitaj support kubwa kutoka kwenu na marafiki kupitia tags .hatua za kufata kupiga kura . . . 1. Fuata link iliopo kwene bio ya page . . .2. Itakupeleka kwene sehem ya kupiga kura imeandikwa VOTE ,kisha PENDA kwa chini yenye kibox cha blue inayoonyesha idadi ya kura ambazo tayari zimeshapigwa. . . .3.fata hiyo box ya blue na itakupeleka kwene kupiga kura kupitia Facebook account .. . . .4 .tayari umeshatupigia kura ❤❤ . . . #youforG20 #PANDA2017 " )" )

4 weeks ago

"Tunashukuru wote ambao mpaka sasa mmetupigia kura 🙏❤ bado tunahitaj support kubwa kutoka kwenu na marafiki kupitia tags .hatua za kufata kupiga kura . . . 1. Fuata link iliopo kwene bio ya page . . .2. Itakupeleka kwene sehem ya kupiga kura imeandikwa VOTE ,kisha PENDA kwa chini yenye kibox cha blue inayoonyesha idadi ya kura ambazo tayari zimeshapigwa. . . .3.fata hiyo box ya blue na itakupeleka kwene kupiga kura kupitia Facebook account .. . . .4 .tayari umeshatupigia kura ❤❤ . . . #youforG20 #PANDA2017 " )

4 weeks ago

Eid mubarak from her initiative to all muslims🎉🎉

4 weeks ago

Tunashukuru wote ambao mpaka sasa mmetupigia kura 🙏❤ bado tunahitaj support kubwa kutoka kwenu na marafiki kupitia tags .hatua za kufata kupiga kura . . . 1. Fuata link iliopo kwene bio ya page . . .2. Itakupeleka kwene sehem ya kupiga kura imeandikwa VOTE ,kisha PENDA kwa chini yenye kibox cha blue inayoonyesha idadi ya kura ambazo tayari zimeshapigwa. . . .3.fata hiyo box ya blue na itakupeleka kwene kupiga kura kupitia Facebook account .. . . .4 .tayari umeshatupigia kura ❤❤ . . . #youforG20 #PANDA2017

Advertisement

Do not want ads show here.
Please contact us ›

Load MoreLoading fail. Click retry
Loading More......